Zaburi 38:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ee bwana, yote ninayoyaonea shauku yako wazi mbele zako, kutamani kwangu sana hakufichiki mbele zako. Tazama sura |