Zaburi 38:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Maana nilisema, Wasije wakanifurahia; Wale wanaojitukuza juu yangu Mguu wangu unapoteleza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Nakuomba tu maadui wasinisimange, wasione fahari juu ya kuanguka kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Nakuomba tu maadui wasinisimange, wasione fahari juu ya kuanguka kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Nakuomba tu maadui wasinisimange, wasione fahari juu ya kuanguka kwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie, wala wajitukuze juu yangu mguu wangu unapoteleza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie, wala wasijitukuze juu yangu mguu wangu unapoteleza.” Tazama sura |