Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 38:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Ee BWANA, usinilaumu katika ghadhabu yako, Wala usiniadhibu kwa ukali wa hasira yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee Mwenyezi Mungu, usinikemee katika hasira yako, wala kuniadhibu katika ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee bwana, usinikemee katika hasira yako, wala kuniadhibu katika ghadhabu yako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 38:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako.


Ee Mungu, uniokoe, Ee BWANA, unisaidie hima.


Ghadhabu yako imenilemea, Umenitesa kwa mawimbi yako yote.


Umemwadhibu kwa kiasi, ulipomfukuza; ukampepeta kwa upepo mkali katika siku ya upepo wa mashariki.


Kwa ghadhabu ifurikayo nilikuficha uso wangu dakika moja; lakini kwa fadhili za milele nitakurehemu, asema BWANA, Mkombozi wako.


Ee BWANA, unirudi kwa haki; si kwa hasira yako, usije ukaniangamiza.


Maana mimi ni pamoja nawe, asema BWANA, nikuokoe; maana nitawakomesha kabisa mataifa yote huko nilikokutawanya, bali sitakukomesha wewe kabisa; lakini nitakurudi kwa hukumu, wala sitakuacha bila adhabu.


Ee BWANA, nimesikia habari zako, nami naogopa; Ee BWANA, fufua kazi yako katikati ya miaka; Katikati ya miaka tangaza habari yake; Katika ghadhabu kumbuka rehema.


Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia BWANA kutaka kuwaangamiza. Lakini BWANA alinisikiza wakati huo nao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo