Zaburi 37:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Maana watenda mabaya watakatiliwa mbali, Bali wamngojao BWANA ndio watakaoirithi nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Watu watendao mabaya wataangamizwa, bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Watu watendao mabaya wataangamizwa, bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Watu watendao mabaya wataangamizwa, bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, bali wale wanaomtumaini Mwenyezi Mungu watairithi nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, bali wale wanaomtumaini bwana watairithi nchi. Tazama sura |