Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 37:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 kwa maana watanyauka upesi kama majani, watakufa upesi kama mimea ya kijani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara.

Tazama sura Nakili




Zaburi 37:2
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.


Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;


Bali Wewe, BWANA, U Mtukufu hata milele.


Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.


Maana, Mwili wote ni kama majani, Na fahari yake yote ni kama ua la majani. Majani hukauka na ua lake huanguka;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo