Zaburi 37:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali ya waovu wengi; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; Tazama sura |