Zaburi 37:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Maana bado kitambo kidogo asiye haki hatakuwapo, Utapaangalia mahali pake wala hatakuwapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Bado kitambo kidogo, naye mwovu atatoweka; utamtafuta pale alipokuwa, wala hutamwona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Bado kitambo kidogo, naye mwovu atatoweka; utamtafuta pale alipokuwa, wala hutamwona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Bado kitambo kidogo, naye mwovu atatoweka; utamtafuta pale alipokuwa, wala hutamwona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana, ingawa utawatafuta, hawataonekana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana, ingawa utawatafuta, hawataonekana. Tazama sura |