Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 35:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Na nafsi yangu itamfurahia BWANA, Na kuushangilia wokovu wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu; nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu; nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu; nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ndipo nafsi yangu itashangilia katika Mwenyezi Mungu na kuufurahia wokovu wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ndipo nafsi yangu itashangilia katika bwana na kuufurahia wokovu wake.

Tazama sura Nakili




Zaburi 35:9
15 Marejeleo ya Msalaba  

Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Maana furaha yangu hutoka kwa BWANA.


Lakini mimi nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.


Ee BWANA, mfalme atazifurahia nguvu zako, Na wokovu wako ataufanyia shangwe nyingi sana.


Maana mioyo yetu itamfurahia, Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu.


Na ufurahi mlima Sayuni. Binti za Yuda na washangilie Kwa sababu ya hukumu zako.


Ili nizisimulie sifa zako zote; Katika malango ya binti Sayuni Nitaufurahia wokovu wako.


Mataifa wamezama katika shimo walilolichimba; Kwa wavu waliouficha imenaswa miguu yao.


Nitafurahi sana katika BWANA, nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu; maana amenivika mavazi ya wokovu, amenifunika vazi la haki, kama bwana arusi ajipambavyo kwa kilemba cha maua, na kama bibi arusi ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu.


Walakini nitamfurahia BWANA Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.


Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,


Naye Hana akaomba, akasema, Moyo wangu wamshangilia BWANA, Pembe yangu imetukuka katika BWANA, Kinywa changu kimepanuka juu ya adui zangu; Kwa kuwa naufurahia wokovu wako;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo