Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 35:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Unihukumu kwa haki yako, Ee BWANA, Mungu wangu, Na usiwaache wanisimange.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee, ufanye kulingana na uadilifu wako; usiwaache maadui zangu wanisimange.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee, ufanye kulingana na uadilifu wako; usiwaache maadui zangu wanisimange.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee, ufanye kulingana na uadilifu wako; usiwaache maadui zangu wanisimange.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Nihukumu kwa haki yako, Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Nihukumu kwa haki yako, Ee bwana Mwenyezi Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange.

Tazama sura Nakili




Zaburi 35:24
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?


Ee BWANA, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini BWANA bila wasiwasi.


Ee BWANA, Mungu wangu, Nilikulilia ukaniponya.


Walio adui zangu bure wasinisimange, Wanaonichukia bila sababu wasining'ong'e.


Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe kutoka kwa mtu wa hila asiye haki.


BWANA atawaamua mataifa, BWANA, unihukumu mimi, Kwa kadiri ya haki yangu, Kulingana na unyofu nilio nao.


Kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi;


Yeye hakutenda dhambi, wala udanganyifu haukuwapo kinywani mwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo