Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 35:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Wewe, BWANA, umeona, usinyamaze; Ee Bwana, usiwe mbali nami.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo, usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo, usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo, usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Ee Mwenyezi Mungu, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Ee bwana, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee bwana.

Tazama sura Nakili




Zaburi 35:22
14 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani unajificha nyakati za shida?


Umeona, maana unaangalia matatizo na dhiki, Uyatwae mkononi mwako. Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima.


Usiwe mbali nami maana taabu i karibu, Kwa maana hakuna msaidizi.


Mafahali wengi wamenizunguka, Walio hodari wa Bashani wamenisonga;


Nawe, BWANA, usiwe mbali, Ee Nguvu zangu, fanya haraka kunisaidia.


Ee BWANA, nitakuita Ewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu kama kiziwi. Nisije nikafanana nao washukao shimoni, Ikiwa umeninyamalia.


Wewe, BWANA, usiniache, Mungu wangu, usijitenge nami.


Ee BWANA, usikie maombi yangu, Utege sikio lako niliapo, Usiyapuuze machozi yangu. Kwa maana mimi ni mgeni wako, Msafiri kama baba zangu wote.


Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe. Lakini nitakukemea; Nitakuhukumu kwa hayo yote.


Ee Mungu, usiwe mbali nami; Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia.


Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie.


BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;


Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;


Hakika nimeona mateso ya watu wangu waliomo Misri, nimesikia kuugua kwao, nami nimeshuka niwatoe. Basi sasa, nitakutuma mpaka Misri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo