Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 35:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 BWANA, utatazama hadi lini? Uiokoe nafsi yangu kutoka kwa maangamizi yao, Na maisha yangu kutoka kwa wanasimba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini? Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao; uyaokoe maisha yangu na simba hao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini? Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao; uyaokoe maisha yangu na simba hao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini? Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao; uyaokoe maisha yangu na simba hao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ee Bwana, utatazama hadi lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, okoa uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ee bwana, utatazama mpaka lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa.

Tazama sura Nakili




Zaburi 35:17
11 Marejeleo ya Msalaba  

Umeona, maana unaangalia matatizo na dhiki, Uyatwae mkononi mwako. Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima.


Nafsi yangu i kati ya simba, Nitastarehe kati yao waliowaka moto. Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale, Na ndimi zao ni upanga mkali.


Na nafsi yangu imefadhaika sana; Na Wewe, BWANA, hadi lini?


Hadi lini, Ee BWANA? Utajificha hata milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hadi lini?


Wewe uliye na macho safi hata usiweze kuangalia uovu, wewe usiyeweza kutazama ukaidi, mbona unawaangalia watendao kwa hila; na kunyamaza kimya, hapo mtu mwovu ammezapo mtu aliye mwenye haki kuliko yeye;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo