Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 34:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake, Maana, wamchao hawapungukiwi kitu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mcheni Mwenyezi-Mungu enyi watakatifu wake; maana wenye kumcha hawatindikiwi na kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mcheni Mwenyezi-Mungu enyi watakatifu wake; maana wenye kumcha hawatindikiwi na kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mcheni Mwenyezi-Mungu enyi watakatifu wake; maana wenye kumcha hawatindikiwi na kitu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mcheni Mwenyezi Mungu enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Mcheni bwana enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 34:9
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, kwa kuwa hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee.


Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira Nanyi mkapotea njiani, Kwa kuwa hasira yake huwaka upesi; Heri wote wanaomkimbilia.


Ninyi mnaomcha BWANA, msifuni, Enyi nyote mlio wazawa wa Yakobo, mtukuzeni, Mcheni, enyi nyote mlio wazawa wa Israeli.


BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.


Mpendeni BWANA, Ninyi nyote mlio watauwa wake. BWANA huwahifadhi waaminifu, Bali humlipiza mwenye kiburi ipasavyo.


Mungu huogopwa sana barazani pa watakatifu, Ni wa kuhofiwa kuliko wote wanaomzunguka.


baada ya hayo wana wa Israeli watarejea, na kumtafuta BWANA, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao; nao watamwendea BWANA na wema wake kwa kicho siku za mwisho.


Yeye ambaye hakumhurumia Mwana wake mwenyewe, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje pia kutupa chochote kingine pamoja naye?


Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo