Zaburi 34:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mwelekezeeni macho, mpate kufurahi, Na nyuso zenu hazitaaibishwa kamwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mgeukieni Mungu mpate kufurahi; nanyi hamtaaibishwa kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mgeukieni Mungu mpate kufurahi; nanyi hamtaaibishwa kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mgeukieni Mungu mpate kufurahi; nanyi hamtaaibishwa kamwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. Tazama sura |