Zaburi 33:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Maana Yeye alisema, na ikawa; Na Yeye aliamuru, ikaumbika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Maana alisema na ulimwengu ukawako; alitoa amri nao ukajitokeza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Maana alisema na ulimwengu ukawako; alitoa amri nao ukajitokeza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Maana alisema na ulimwengu ukawako; alitoa amri nao ukajitokeza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara. Tazama sura |