Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 33:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Nchi yote na imwogope BWANA, Wote wakaao duniani na wamche.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Dunia yote na imwogope Mwenyezi Mungu, watu wote wa dunia wamche.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Dunia yote na imwogope bwana, watu wote wa dunia wamche.

Tazama sura Nakili




Zaburi 33:8
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo watu humwogopa; Yeye hawaangalii walio na hekima mioyoni.


Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.


Mungu atatubariki sisi; Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.


Wewe ndiwe utishaye, naam, Wewe; Naye ni nani awezaye kusimama ukasirikapo?


maana Mungu wetu ni moto ulao.


Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo