Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 33:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Ee BWANA, fadhili zako zikae nasi, Kama tunavyo kutumainia Wewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Fadhili zako zikae nasi, ee Mwenyezi-Mungu, kwani sisi tumekuwekea tumaini letu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Fadhili zako zikae nasi, ee Mwenyezi-Mungu, kwani sisi tumekuwekea tumaini letu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Fadhili zako zikae nasi, ee Mwenyezi-Mungu, kwani sisi tumekuwekea tumaini letu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Mwenyezi Mungu, tunapoliweka tumaini letu kwako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee bwana, tunapoliweka tumaini letu kwako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 33:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

Likumbuke neno ulilomwambia mtumishi wako, Ambalo kwalo umenipa tumaini.


Nakuomba, fadhili zako ziwe faraja kwangu, Kulingana na ahadi yako kwa mtumishi wako.


Lakini mimi nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.


Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, Bali amtumainiaye BWANA fadhili zitamzunguka.


Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asububi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.


Ndipo alipowagusa macho, akasema, Kwa kadiri ya imani yenu na itendeke kwenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo