Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 33:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Nafsi zetu zinamngoja BWANA; Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mioyo yetu yamtumainia Mwenyezi-Mungu. Yeye ni msaada wetu na ngao yetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mioyo yetu yamtumainia Mwenyezi-Mungu. Yeye ni msaada wetu na ngao yetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mioyo yetu yamtumainia Mwenyezi-Mungu. Yeye ni msaada wetu na ngao yetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Sisi tunamngojea Mwenyezi Mungu kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Sisi tunamngojea bwana kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 33:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakapata msaada juu yao, nao Wahajiri walitiwa mikononi mwao, na wote waliokuwa pamoja nao; kwa kuwa walimlingana Mungu pale vitani; naye akayatakabali maombi yao, kwa sababu walimtumaini yeye.


Umtumainie BWANA, uwe imara, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.


Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.


bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.


Nami nitamngojea BWANA, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo