Zaburi 33:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Mfalme haokolewi kwa jeshi lake kubwa, Wala shujaa haokoki kwa kuwa na nguvu nyingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mfalme hawezi kuokolewa kwa kuwa na jeshi kubwa; wala shujaa hapati ushindi kwa nguvu zake kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mfalme hawezi kuokolewa kwa kuwa na jeshi kubwa; wala shujaa hapati ushindi kwa nguvu zake kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mfalme hawezi kuokolewa kwa kuwa na jeshi kubwa; wala shujaa hapati ushindi kwa nguvu zake kubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hakuna mfalme anayeokoka kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa anayeokoka kwa wingi wa nguvu zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. Tazama sura |
BWANA akamwambia Gideoni; Hata sasa watu hawa ni wengi mno; walete chini majini, nami nitawajaribu huko kwa ajili yako; kisha itakuwa ya kwamba yule nitakayekuambia, Huyu atakwenda pamoja nawe, ndiye atakayekwenda pamoja nawe; na mtu yule nitakayekuambia, Huyu hatakwenda pamoja nawe, basi mtu huyo hatakwenda.