Zaburi 33:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Akiwa katika kiti chake cha enzi. Huwaangalia wote wakaao duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 kutoka maskani mwake huwaangalia wote wanaoishi duniani: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani: Tazama sura |