Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 33:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Toka mbinguni BWANA huchungulia, Huangalia na kuwaona wanadamu wote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mwenyezi-Mungu huangalia chini kutoka mbinguni, na kuwaona wanadamu wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mwenyezi-Mungu huangalia chini kutoka mbinguni, na kuwaona wanadamu wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mwenyezi-Mungu huangalia chini kutoka mbinguni, na kuwaona wanadamu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Mwenyezi Mungu hutazama chini kutoka mbinguni na kuwaona wanadamu wote;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kutoka mbinguni bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote;

Tazama sura Nakili




Zaburi 33:13
13 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mtu duniani amepotoka.


Kwa maana macho ya BWANA hukimbia kimbia duniani kote, ili ajionesha kuwa mwenye nguvu kwa ajili ya hao, waliokamilika moyo kuelekea kwake. Kwa hayo umetenda upumbavu; kwani tangu sasa utakuwa na vita.


Kwa kuwa yeye awajua watu baradhuli; Anapouona uovu, je; hatauangalia?


Maana anatazama hata miisho ya nchi, Na kuona chini ya mbingu nzima.


Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu, Toka mbinguni BWANA ameiangalia nchi,


BWANA yu katika hekalu lake takatifu. BWANA ambaye kiti chake kiko mbinguni, Macho yake yanaangalia; Kope zake zinawapima wanadamu.


Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye hekima, Amtafutaye Mungu.


Toka mbinguni MUNGU aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye hekima, Amtafutaye Mungu.


Atawalaye kwa uweza wake milele; Ambaye macho yake yanaangalia mataifa; Hebu wanaoasi wasijitukuze nafsi zao.


Macho ya BWANA yako kila mahali; Yakimchunguza mbaya na mwema.


Hata BWANA atakapoangalia Na kutazama toka mbinguni.


Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, maana vitu vyote ni tupu na kuwekwa wazi machoni pake yeye ambaye tunapaswa kuwajibika kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo