Zaburi 32:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kimbilio langu utanilinda nisipate mateso, Utanizungusha nyimbo za kufurahia wokovu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wewe ndiwe kinga yangu; wewe wanilinda katika taabu. Umenijalia shangwe za kukombolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wewe ndiwe kinga yangu; wewe wanilinda katika taabu. Umenijalia shangwe za kukombolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wewe ndiwe kinga yangu; wewe wanilinda katika taabu. Umenijalia shangwe za kukombolewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, utaniepusha na taabu na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, utaniepusha na taabu na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu. Tazama sura |