Zaburi 32:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Heri aliyesamehewa dhambi, Na kuondolewa makosa yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Heri yake mtu aliyesamehewa kosa lake, mtu ambaye dhambi yake imeondolewa kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Heri yake mtu aliyesamehewa kosa lake, mtu ambaye dhambi yake imeondolewa kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Heri yake mtu aliyesamehewa kosa lake, mtu ambaye dhambi yake imeondolewa kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Heri mtu aliyesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa. Tazama sura |