Zaburi 31:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ndiwe mwamba wangu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze na unichunge. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Naam, wewe ni mwamba wangu na ngome yangu; kwa hisani yako uniongoze na kunielekeza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Naam, wewe ni mwamba wangu na ngome yangu; kwa hisani yako uniongoze na kunielekeza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Naam, wewe ni mwamba wangu na ngome yangu; kwa hisani yako uniongoze na kunielekeza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako. Tazama sura |