Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 31:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kwako, ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache niaibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kwako, ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache niaibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kwako, ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache niaibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee Mwenyezi Mungu, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee bwana, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.

Tazama sura Nakili




Zaburi 31:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, uisikie sala yangu, uzisikilize dua zangu Unijibu Kwa uaminifu wako, Unijibu kwa haki yako.


Ee Mungu wangu, Nimekutumainia Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.


Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe kutoka kwa mtu wa hila asiye haki.


Na wafalme watakuwa baba zako walezi, na malkia zao mama zako walezi; watainama mbele yako kifudifudi, na kuramba mavumbi ya miguu yako; nawe utajua ya kuwa mimi ni BWANA, tena waningojeao hawatatahayarika.


Ee Bwana sawasawa na haki yako yote, nakusihi, hasira yako na ghadhabu yako zigeuzwe na kuuacha mji wako Yerusalemu, mlima wako mtakatifu; maana kwa sababu ya dhambi zetu, na maovu ya baba zetu, Yerusalemu na watu wako wamepata kulaumiwa na watu wote wanaotuzunguka.


Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.


na tumaini halitahayarishi; kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo