Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Zaburi 30:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo Shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yatautangaza uaminifu wako?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 “Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 “Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 “Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 “Kuna faida gani katika kuangamia kwangu, katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 “Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? Katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako?

Tazama sura Nakili

Zaburi 30:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.

Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru?

Nilimwita kwa kinywa changu, Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu.

Lolote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.

Kwa kuwa kuzimu hakuwezi kukusifu; mauti haiwezi kukuadhimisha; Wale washukao shimoni hawawezi kuutumainia uaminifu wako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo