Zaburi 30:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ee BWANA, nilikulilia Wewe, Naam, kwa BWANA niliomba dua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwako wewe, Ee Mwenyezi Mungu, niliita, niliomba rehema kwa Bwana: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwako wewe, Ee bwana, niliita, kwa Bwana niliomba rehema: Tazama sura |