Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 30:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Mwimbieni BWANA zaburi, Enyi watauwa wake. Na kutoa shukrani. Kwa kukumbuka utakatifu wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa, enyi waaminifu wake; kumbukeni utakatifu wake na kumshukuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa, enyi waaminifu wake; kumbukeni utakatifu wake na kumshukuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa, enyi waaminifu wake; kumbukeni utakatifu wake na kumshukuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Mwimbieni Mwenyezi Mungu, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Mwimbieni bwana, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 30:4
16 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaagiza baadhi ya Walawi kwamba watumike mbele ya sanduku la BWANA, wamfanyie ukumbusho, na shukrani, na sifa, BWANA, Mungu wa Israeli;


Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.


Makuhani wako na wavikwe haki, Watauwa wako na washangilie.


Naye amewainulia watu wake pembe, Sifa za watauwa wake wote; Wana wa Israeli, watu walio karibu naye. Haleluya.


Ee BWANA, nitakuita Ewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu kama kiziwi. Nisije nikafanana nao washukao shimoni, Ikiwa umeninyamalia.


Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.


Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.


Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.


Enyi wenye haki, mfurahieni BWANA, Na kulishukuru jina lake takatifu.


Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?


Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.


Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.


BWANA huua, naye hufanya kuwa hai; Hushusha hadi kuzimu, tena huleta juu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo