Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 30:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Ee BWANA, Mungu wangu, Nilikulilia ukaniponya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Ee bwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya.

Tazama sura Nakili




Zaburi 30:2
14 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akamwomba Mungu, Mungu akamponya Abimeleki, na mkewe, na wajakazi wake, nao wakazaa wana.


Rudi, ukamwambie Hezekia, mkuu wa watu wangu, BWANA, Mungu wa Daudi baba yako asema hivi, Nimeyasikia maombi yako, na kuyaona machozi yako; tazama, nitakuponya; siku ya tatu utapanda nyumbani kwa BWANA.


BWANA ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.


Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele.


Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuyaganga majeraha yao.


Unihukumu kwa haki yako, Ee BWANA, Mungu wangu, Na usiwaache wanisimange.


Nami katika ukamilifu wangu umenitegemeza, Umeniweka mbele za uso wako milele.


Unifanye kusikia furaha na shangwe, Mifupa uliyoiponda ifurahi.


BWANA, unifadhili, maana ninanyauka; BWANA, uniponye, mifupa yangu imefadhaika.


Lakini mimi nimekulilia Wewe, BWANA, Na asubuhi maombi yangu yatakuwasilia.


akawaambia, Kwamba utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, mimi sitatia juu yako maradhi yoyote niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo