Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 30:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Ee BWANA, usikie, unirehemu, BWANA, uwe msaidizi wangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie; ee Mwenyezi-Mungu, unisaidie!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie; ee Mwenyezi-Mungu, unisaidie!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie; ee Mwenyezi-Mungu, unisaidie!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Ee Mwenyezi Mungu, unisikie na kunihurumia; Ee Mwenyezi Mungu, uwe msaada wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Ee bwana, unisikie na kunihurumia, Ee bwana, uwe msaada wangu.”

Tazama sura Nakili




Zaburi 30:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, uisikie sala yangu, uzisikilize dua zangu Unijibu Kwa uaminifu wako, Unijibu kwa haki yako.


Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia, Unifadhili, unijibu.


BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu. Moyo wangu umemtumaini, Nami nimesaidiwa; Basi, moyo wangu unashangilia, Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.


Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.


Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakibubujikia kitanda changu; Nililowesha godoro langu kwa machozi yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo