Zaburi 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Nilijilaza na kulala usingizi, kisha ninaamka tena, Kwa kuwa BWANA ananitegemeza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Mwenyezi Mungu hunitegemeza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana bwana hunitegemeza. Tazama sura |