Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 29:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Sauti ya BWANA yalitetemesha jangwa; BWANA alitetemesha jangwa la Kadeshi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa, Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa la Kadeshi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa, Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa la Kadeshi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa, Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa la Kadeshi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Sauti ya Mwenyezi Mungu hutikisa jangwa; Mwenyezi Mungu hutikisa Jangwa la Kadeshi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Sauti ya bwana hutikisa jangwa; bwana hutikisa Jangwa la Kadeshi.

Tazama sura Nakili




Zaburi 29:8
9 Marejeleo ya Msalaba  

Aitikisaye dunia itoke mahali pake, Na nguzo zake hutetemeka.


Ndipo nchi iliyotikisika na kutetemeka, Misingi ya milima ikatingizika; Ikatikisika kwa sababu alikuwa na ghadhabu.


Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.


Kwa hiyo nitazitetemesha mbingu, na dunia itatikiswa itoke katika mahali pake, kwa sababu ya ghadhabu ya BWANA wa majeshi, na kwa sababu ya siku ya hasira yake kali.


Naye BWANA atanguruma toka Sayuni, atatoa sauti yake toka Yerusalemu; na mbingu na nchi zitatetemeka; lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake, na ngome ya wana wa Israeli.


Sema na Zerubabeli, mtawala wa Yuda, ukisema, Nitazitikisa mbingu na dunia;


Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Kwa mara nyingine, kitambo kidogo tu, nitazitikisa hizo mbingu, na hii nchi, na bahari, na nchi kavu;


Wakaenda wakafika kwa Musa, na kwa Haruni, na kwa mkutano wote wa wana wa Israeli, katika jangwa la Parani, huko Kadeshi; wakawaletea habari, wao na mkutano wote, wakawaonesha matunda ya nchi.


ambaye sauti yake iliitetemesha nchi wakati ule; lakini sasa ameahidi akisema, Mara moja tena nitatetemesha si nchi tu, bali na mbingu pia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo