Zaburi 29:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Airusharusha Lebanoni kama ndama wa ng'ombe; Lebanoni na Sirioni kama mwananyati. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Huirusha milima ya Lebanoni kama ndama, milima ya Sirioni kama mwananyati. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Huirusha milima ya Lebanoni kama ndama, milima ya Sirioni kama mwananyati. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Huirusha milima ya Lebanoni kama ndama, milima ya Sirioni kama mwananyati. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni urukaruke kama mwana nyati. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni urukaruke kama mwana nyati. Tazama sura |