Zaburi 29:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Sauti ya BWANA yaivunja mierezi; Naam, BWANA aivunjavunja mierezi ya Lebanoni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Sauti ya Mwenyezi-Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi-Mungu avunja mierezi ya Lebanoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Sauti ya Mwenyezi-Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi-Mungu avunja mierezi ya Lebanoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Sauti ya Mwenyezi-Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi-Mungu avunja mierezi ya Lebanoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Sauti ya Mwenyezi Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi Mungu huvunja vipande vipande mierezi ya Lebanoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Sauti ya bwana huvunja mierezi; bwana huvunja vipande vipande mierezi ya Lebanoni. Tazama sura |