Zaburi 29:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Mpeni BWANA, enyi wana wa Mungu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mpeni Mwenyezi Mungu, enyi mashujaa, mpeni Mwenyezi Mungu utukufu na nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mpeni bwana, enyi mashujaa, mpeni bwana utukufu na nguvu. Tazama sura |