Zaburi 28:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Maana hawazifahamu kazi za BWANA, Wala matendo ya mikono yake, Atawavunja wala hatawajenga tena; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu; hawatambui mambo aliyoyafanya. Kwa sababu hiyo atawabomoa, wala hatawajenga tena upya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu; hawatambui mambo aliyoyafanya. Kwa sababu hiyo atawabomoa, wala hatawajenga tena upya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu; hawatambui mambo aliyoyafanya. Kwa sababu hiyo atawabomoa, wala hatawajenga tena upya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kwa kuwa hawaheshimu kazi za Mwenyezi Mungu, na yale ambayo mikono yake imetenda, atawabomoa na kamwe hatawajenga tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kwa kuwa hawaheshimu kazi za bwana, na yale ambayo mikono yake imetenda, atawabomoa na kamwe hatawajenga tena. Tazama sura |
Tena itakuwa, ukiyasikia yote nitakayokuamuru, na kuenda katika njia zangu, na kutenda yaliyo mema machoni pangu, ili kuzishika amri zangu na hukumu zangu kama Daudi mtumishi wangu alivyotenda, basi, nitakuwa pamoja nawe, nitakujengea nyumba iliyo imara, kama nilivyomjengea Daudi, nami nitakupa wewe Israeli.