Zaburi 28:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo, Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Sikiliza sauti ya ombi langu, ninapokulilia unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea maskani yako takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Sikiliza sauti ya ombi langu, ninapokulilia unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea maskani yako takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Sikiliza sauti ya ombi langu, ninapokulilia unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea maskani yako takatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Sikia kilio changu nikikuomba unihurumie, ninapokuita ili unisaidie, ninapoinua mikono yangu kuelekea Patakatifu pa Patakatifu pako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sikia kilio changu unihurumie ninapokuita kwa ajili ya msaada, niinuapo mikono yangu kuelekea Patakatifu pa Patakatifu pako. Tazama sura |