Zaburi 27:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Neno moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa BWANA, Na kutafakari hekaluni mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Jambo moja nimemwomba Mwenyezi-Mungu, nalo ndilo ninalolitafuta: Nikae nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu siku zote za maisha yangu; niuone uzuri wake Mwenyezi-Mungu, na kutafuta maongozi yake hekaluni mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Jambo moja nimemwomba Mwenyezi-Mungu, nalo ndilo ninalolitafuta: Nikae nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu siku zote za maisha yangu; niuone uzuri wake Mwenyezi-Mungu, na kutafuta maongozi yake hekaluni mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Jambo moja nimemwomba Mwenyezi-Mungu, nalo ndilo ninalolitafuta: nikae nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu siku zote za maisha yangu; niuone uzuri wake Mwenyezi-Mungu, na kutafuta maongozi yake hekaluni mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Jambo moja ninamwomba Mwenyezi Mungu, hili ndilo ninalolitafuta: niweze kukaa nyumbani mwa Mwenyezi Mungu siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri wa Mwenyezi Mungu na kumtafuta hekaluni mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Jambo moja ninamwomba bwana, hili ndilo ninalolitafuta: niweze kukaa nyumbani mwa bwana siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri wa bwana na kumtafuta hekaluni mwake. Tazama sura |