Zaburi 26:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Mikononi mwao mna madhara, Na mkono wao wa kulia umejaa rushwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 watu ambao matendo yao ni maovu daima, watu ambao wamejaa rushwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 watu ambao matendo yao ni maovu daima, watu ambao wamejaa rushwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 watu ambao matendo yao ni maovu daima, watu ambao wamejaa rushwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. Tazama sura |