Zaburi 25:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wenye upole atawaongoza katika haki, Wenye upole atawafundisha njia yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Huwaongoza wanyenyekevu katika uadilifu; naam, huwafundisha hao njia yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Huwaongoza wanyenyekevu katika uadilifu; naam, huwafundisha hao njia yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Huwaongoza wanyenyekevu katika uadilifu; naam, huwafundisha hao njia yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, naye huwafundisha njia yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, naye huwafundisha njia yake. Tazama sura |