Zaburi 25:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ee BWANA, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Uikumbuke huruma yako ee Mwenyezi-Mungu; uzikumbuke na fadhili zako kuu, ambazo zimekuwako tangu kale. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Uikumbuke huruma yako ee Mwenyezi-Mungu; uzikumbuke na fadhili zako kuu, ambazo zimekuwako tangu kale. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Uikumbuke huruma yako ee Mwenyezi-Mungu; uzikumbuke na fadhili zako kuu, ambazo zimekuwako tangu kale. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kumbuka, Ee Mwenyezi Mungu, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kumbuka, Ee bwana, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani. Tazama sura |
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.