Zaburi 25:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kwa ajili ya jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, unisamehe kosa langu kwani ni kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kwa ajili ya jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, unisamehe kosa langu kwani ni kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kwa ajili ya jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, unisamehe kosa langu kwani ni kubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ee Mwenyezi Mungu, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ee bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi. Tazama sura |