Zaburi 24:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Inueni vichwa vyenu, enyi malango, viinueni juu enyi milango ya kale, ili Mfalme wa utukufu apate kuingia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Inueni vichwa vyenu, enyi malango, viinueni juu enyi milango ya kale, ili Mfalme wa utukufu apate kuingia. Tazama sura |