Zaburi 24:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ni nani Mfalme wa utukufu? BWANA mwenye nguvu, hodari, BWANA hodari wa vita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo; Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo; Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo; Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Ni Mwenyezi Mungu aliye na nguvu na uweza, ni Mwenyezi Mungu aliye hodari katika vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Ni bwana aliye na nguvu na uweza, ni bwana aliye hodari katika vita. Tazama sura |