Zaburi 24:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Atapokea baraka kwa BWANA, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mtu huyo atapokea baraka kwa Mwenyezi-Mungu, na haki yake kwa Mungu mwokozi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mtu huyo atapokea baraka kwa Mwenyezi-Mungu, na haki yake kwa Mungu mwokozi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mtu huyo atapokea baraka kwa Mwenyezi-Mungu, na haki yake kwa Mungu mwokozi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Huyo atapokea baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Huyo atapokea baraka kutoka kwa bwana, na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake. Tazama sura |