Zaburi 24:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nani awezaye kuupanda mlima wa Mwenyezi Mungu? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nani awezaye kuupanda mlima wa bwana? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? Tazama sura |