Zaburi 24:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? BWANA wa majeshi, Yeye ndiye Mfalme wa utukufu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, yeye ndiye Mfalme mtukufu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, yeye ndiye Mfalme mtukufu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, yeye ndiye Mfalme mtukufu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ni nani yeye, huyu Mfalme wa utukufu? Ni Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni; yeye ndiye Mfalme wa utukufu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ni nani yeye, huyu Mfalme wa utukufu? Ni bwana Mwenye Nguvu Zote; yeye ndiye Mfalme wa utukufu. Tazama sura |