Zaburi 22:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Naam, Wewe ndiwe uliyenitoa tumboni, Ulinisalimisha matitini mwa mama yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Lakini ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, uliniweka salama kifuani pa mama yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Lakini ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, uliniweka salama kifuani pa mama yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Lakini ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, uliniweka salama kifuani pa mama yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee, hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee, hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu. Tazama sura |