Zaburi 22:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Baba zetu walikutumainia Wewe, Walitumainia, na Wewe ukawaokoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa. Tazama sura |
hata ikawa, wenye panda na waimbaji walipokuwa kama mmoja, wakisikizisha sauti moja ya kumsifu na kumshukuru BWANA nao wakipaza sauti pamoja na panda na matoazi na vinanda, wakimsifu BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele; ndipo nyumba ikajawa na wingu, naam, nyumba ya BWANA,