Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 22:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Lakini Wewe U Mtakatifu, Utukuzwaye na sifa za Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Hata hivyo, wewe ni mtakatifu; wewe watawala na kusifiwa na Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Hata hivyo, wewe ni mtakatifu; wewe watawala na kusifiwa na Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Hata hivyo, wewe ni mtakatifu; wewe watawala na kusifiwa na Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Hata hivyo umesimikwa kwenye kiti cha enzi, Wewe Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.

Tazama sura Nakili




Zaburi 22:3
11 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, nalia, Udhalimu, lakini sisikiwi; Naulilia msaada, wala hapana hukumu.


Nakulilia wewe, wala huniitikii; Nasimama, nawe wanitazama tu.


BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye huruma katika matendo yake yote.


Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonesha wokovu wa Mungu.


Ee Mungu, wastahili sifa katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri.


Maombi yangu yafike mbele zako, Ukitegee kilio changu sikio lako.


Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana BWANA, Mungu wetu, ni mtakatifu.


Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.


Ee BWANA, nilie hadi lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa.


Yeye ndiye fahari yako, na yeye ndiye Mungu wako, aliyekutendea mambo haya makubwa, ya kutisha, uliyoyaona kwa macho yako.


Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo