Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 22:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Kwako zinatoka sifa zangu Katika kusanyiko kubwa. Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Kwa sababu yako ninakusifu katika kusanyiko kubwa la watu; nitatimiza ahadi zangu mbele yao wakuchao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Kwa sababu yako ninakusifu katika kusanyiko kubwa la watu; nitatimiza ahadi zangu mbele yao wakuchao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Kwa sababu yako ninakusifu katika kusanyiko kubwa la watu; nitatimiza ahadi zangu mbele yao wakuchao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wanaokucha wewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wakuchao wewe.

Tazama sura Nakili




Zaburi 22:25
11 Marejeleo ya Msalaba  

Haleluya. Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.


Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu, Katikati ya kusanyiko nitakusifu.


Nitakushukuru katika kusanyiko kubwa; Nitakusifu kati ya watu wengi.


Ee Mungu, nadhiri zako ziko juu yangu; Nitakutolea dhabihu za kushukuru.


Ee Mungu, wastahili sifa katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri.


Nitaingia nyumbani mwako na kafara; Nitaondoa kwako nadhiri zangu;


Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu, Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo